fbpx

BSQ ART

From the blog

HARAKATI!!!

Harakati is a movement, ya kushow artist tukikuja pamoja we can do greater things na tuweze kumake dow pamoja badala ya kutegemea certain people kwa industry ndo watuamshe  kiart then watuangushe baadae. So far a few of us tumeservive bila kutegemea awa wasee mbaka point sai wanatuneed ju hawana otherwise. Ju ii ndo point ukishika handball wanaanza kukufuata ati oo sijui nini. Kumbe wanamek dow mingi sana off you na sijui story za percentage bigi bigi na hawajado any work because Umesota. Si tumekuja pamoja because tuko na solutions kathaa zenye zinawork na tunawelcome anyone kutujoin for more solutions. When we come together we do greater things. so come through tushikane na tumake great things zihappen. Kuna maninja hatuneed!!!

si tulicome pamoja tukaform harakati na ishaanza kuran. Openning ilikuwa  15th dec 2018 na 16th dec siku mbili kwa studio mbili!!!BSQ studios na Studio Soku the next day !!!!

Harakati is a collaboration between BSQ Art Studio, Studio Soku, Warembo Wasanii and Kijani Art Studio

Harakati is a movement that wants to bring artists together independently and give themselves financial security by eliminating the art industry’s middlemen.

3 comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Stay up to date!